Kanyaga Album Art

Bagi Anda yang ingin memainkan lagu Kanyaga yang dipopulerkan oleh Diamond Platnumz, berikut adalah panduan kunci gitar dasar lengkapnya. Level kesulitan kunci gitar lagu ini adalah Mudah (cocok untuk pemula) dengan nada dasar awal Am. Semoga panduan lirik dan kunci gitar ini bermanfaat bagi hobi musik Anda.

0
0x
capo: 5th fret Chorus Am Dm ( woo, woiyo ooh woiyo ooh woiyo ooh ) Am Dm ( woo, woiyo ooh woiyo ooh woiyo ooh ) Verse Am Ati, kanyaga ka ana pigo za unafiki Dm Kanyaga kama mmbeya asiye rafiki C Kanyaga kama fisi ana roho ya usnichi Dm Hakulishi, hakuvishi kwani vipi? Am Kanyaga----wazee wa shombo kudandia Dm Kanyaga----klabu kuomba omba bia Am Kanyaga----slay queens vitisho vya bandia G Ukivipa hai ati madai vinavimbia Chorus Am ( kanyaga ) uzushi ( kanyaga ) mashemu feki Dm ( kanyaga ) nuksi ( kanyaga ) kudadadeki Am ( kanyaga ) mawifi ( kanyaga ) mpaka ma ex Dm ( kanyaga ) mikosi ( kanyaga ) woooya kanyaga! Bridge Am Kanyaga! kanyaga! Dm Kanyaga! kanyaga! Am Kanyaga! kanyaga! G Kanyaga! kanyaga! Verse Am Yii, ( kanyaga! kanyaga ) Kama unanicheza zangu Dm ( kanyaga! kanyaga ) Wale wakuda wadaku Am ( kanyaga! kanyaga ) Yeah, kidaku daku Dm ( kanyaga! kanyaga ) Wajue hizi namba chafu Chorus Am Dm ( woo, woiyo ooh woiyo ooh woiyo ooh ) Am Dm ( woo, woiyo ooh woiyo ooh woiyo ooh ) Verse Ooh yeah eeh Am siku hizi watu wanataka money Dm So nikimuita aku kosti, kanyaga! Am Kunitumia mipicha pigo gani? G Ati basi day nikuposti ( oh yeah yeah ) Am kadi za harusi kuchanga changa, kanyaga! Dm Wakati mwenyewe nina majanga, kanyaga! Am Sina godoro sina kitanda G Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga ( yii ) Am Dm kama buti la mugambo, kanyaga! Am Wavuruga mipango, kanyaga! Dm Wazee wa insta michambo Ati 'baby niunge bando' Chorus Am ( kanyaga ) uzushi ( kanyaga ) mashemu feki Dm ( kanyaga ) nuksi ( kanyaga ) kudadadeki Am ( kanyaga ) mawifi ( kanyaga ) mpaka ma ex Dm ( kanyaga ) mikosi ( kanyaga ) woooya kanyaga! Bridge Am Kanyaga! kanyaga! Dm Kanyaga! kanyaga! Am Kanyaga! kanyaga! Dm Kanyaga! kanyaga! Chorus Am Yii, ( kanyaga! kanyaga ) Kama unanicheza zangu Dm ( kanyaga! kanyaga ) Wale wakuda wadaku Am ( kanyaga! kanyaga ) Yeah, kidaku daku Dm ( kanyaga! kanyaga ) Wajue hizi namba chafu Verse Am I say leeeooo Dm Usiku hatulali, tunakesha kama popo Am leo, leo Dm Tena wape na bare, kama wao pakasi kwako Am Leeeooo Dm Usiku hatulali, tunakesha kama popo Am leo, leo Dm Tena wape na bare, kama wao pakasi kwako Am Asa timba, timba timba ( timbaaa ) Dm wanangu timba ( timbaaa ) Am wao kula kushoto ( timbaaa ) Dm kula kulia ( timbaaa ) Am I say timba, timba timba ( timbaaa ) Dm Oyaa wahuni timba ( timbaaa ) Am kama unazikili ( timbaaa ) Dm Mchaka kabisa akili ( timbaaa ) Kimya!
Sumber: https://chords.web.id/chord/diamond-platnumz-kanyaga - Hak cipta dilindungi.

Kunci Gitar Kanyaga — Diamond Platnumz

0 Kunci

Video Lagu Kanyaga

Video Kanyaga
PUTAR VIDEO

More from Diamond Platnumz